DONE DEAL: Chelsea FC wamekamilisha usajili wa mlinzi wa Ujerumani - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

DONE DEAL: Chelsea FC wamekamilisha usajili wa mlinzi wa Ujerumani

Share This

Mabingwa wa Premier League Chelsea FC imekamilisha usajili wa mlinzi wa timu ya Taifa la Ujerumani Antonio Rudiger kutoka Klabu ya Roma kwa dili lenye thamani ya pound 31m ambayo inaweza kuongezeka hadi pound 35m.
Antonio Rudiger mwenye umri wa miaka 24 amesaini mkataba wa miaka mitano kutumika Stamford Bridge baada ya kufanya vipimo vya afya Jumapili.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages