
April 10, 2017 mkutano wa saba wa bunge umeendelea Dodoma na katika kipindi cha maswali na majibu kati ya maswali yaliyosikika ni pamoja na kutoka kwa Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga aliyetaka kujua idadi ya taasisi na mashirika mangapi hayajajiunga na mfumo wa bima ya afya. Majibu yakatolewa na Naibu Waziri na Waziri wa Afya
No comments:
Post a Comment