Leo Roberto Carlos anasherehekea Birthday yake jikumbushe uwezo wake - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Leo Roberto Carlos anasherehekea Birthday yake jikumbushe uwezo wake

Share This

Kama ni shabiki wa soka najua utakuwa umewahi kusikia jina la staa wa kimataifa wa zamani wa Brazil ambaye aliwahi kuichezea Real Madrid ya Hispania kwa mafanikio Roberto Carlos ambaye kwa sasa ni kocha wa Delhi Dynamos ya India.
Carlos hadi leo anatajwa kama ni beki bora wa kushoto wa muda wote na alikuwa mahiri katika upigaji wa mipira ya adhabu, leo April 10 2017 anatimiza miaka 44 toka azaliwe 1973 kwao Sao Paulo Brazil, jikumbushe baadhi ya matukio yake uwanjani.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages