Simtambui Lipumba sio M/kiti wa CUF” Maalim Seif - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Simtambui Lipumba sio M/kiti wa CUF” Maalim Seif

Share This

Leo March 3 Katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif amefanya mahojiano na kituo cha Television cha Azam two na kusema hamtambui mwenyekiti wa chama hicho Pro. Ibrahim Lipumba pamoja na uwamuzi aliochukuwa wakumuweka kando na nafasi yake kukaimiwa na Magdalena Sakaya.
Malim Seif ameongezea kwa kusema hawezi kwenda ofisi za Buguruni daresalam kwa kuwa makao makuu ya chama hicho yapo Zanzibar.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages