Nape alivyosimama kwa mara ya kwanza bungeni tangu atenguliwe Uwaziri - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Nape alivyosimama kwa mara ya kwanza bungeni tangu atenguliwe Uwaziri

Share This

Ni siku kadhaa zimepita tangu aliyekuwa Waziri wa habari, utamaduni sanaa na michezo, Nape Nnauye atenguliwe nafasi hiyo. Leo April 04 2017 kwenye mkutano wa saba wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Nape Nnauye ameuliza swali lake la kwanza bungeni tangu atenguliwe kwenye nafasi ya uwaziri. 

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages