Mr T Touch kuhusu Young Dee na dawa za kulevya…. - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Mr T Touch kuhusu Young Dee na dawa za kulevya….

Share This

Ikiwa ni miezi kadhaa tangu Pruducer Mr T Touch kumsaini msanii Bongo Fleva, Young Dee kufanya nae kazi sasa leo April 5, 2017 amezungumza juu ya tetesi za Young Dee kuhusishwa kwenye utumiaji wa Dawa za Kulevya.
Akizungumza na millardayo.com & Ayo TV aliyaongea haya….>>>>Tulishaongea kabla sijamsaini kwenye label yangu na kama mtumiaji wa hayo mambo mtu unamjua basi ningeweza kumjua na sasa hivi kabla sijaja hapa nilimuacha studio kwahiyo sidhani kama anatumia hizo dawa za kulevya na hata kama angekuwa anatumia basi ningejua tu‘-Mr T Touch

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages