Arsenal imepata ushindi wa kwanza EPL baada ya siku 53 - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Arsenal imepata ushindi wa kwanza EPL baada ya siku 53

Share This

Ligi Kuu England msimu wa 2016/2017 iliendelea usiku wa April 5 2017 kwa michezo sita kuchezwa, mchezo kati ya Arsenal dhidi ya West Ham United ni miongoni mwa michezo iliyochezwa usiku wa April 5, licha ya watu wengi kufuatilia game ya Man City vs Chelsea lakini game ya Arsenal ilikuwa na mvuto wake pia.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages