Polisi DSM yaongea, Sirro ajibu ya Freeman Mbowe na Steve Nyerere - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Polisi DSM yaongea, Sirro ajibu ya Freeman Mbowe na Steve Nyerere

Share This

Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro leo February 24  2017 amekutana na waandishi wa habari na kutoa taarifa kuhusu ukamataji wa Watuhumiwa wa dawa za kulevya, utumiaji na usambaji wa dawa za hizo ambapo amesema watuhumiwa 257 wamekamatwa kuanzia February 16 2017 mpaka February 23 2017.
Pamoja na hayo Kamanda Sirro amejibu maswali ya waandishi likiwamo kuhusu kumshikilia Mchekeshaji Steve Nyerere ambapo amesema……>>> kama ameitwa atakuwa ameitwa na wapelelezi sijapata habari zake, kwa kuwa kuna timu inashughulika na mambo haya

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages