Nimeamua kuhamia chadema - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Nimeamua kuhamia chadema

Share This

Nimeamua kuhamia chadema kwa sababu nimefanya uchunguzi wangu, ni chama ambacho kinapigania demokrasia hata wakati tulipokuwa kwenye uchaguzi mkuu ndicho chama cha upinzani kilichokuwa kinatusumbua sana, ningejua toka mwanzo ningeshahamia, sikujua kwa sababu mimi pia ni biaadamu hata hivyo sijachelewa sana kufanya maamuzi"-Wema Sepetu
Yapi maoni yako kwa mwanachama mpya wa Chadema?.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages