RC Dar, TEF na Ruge waongea na wanahabari: Habari za RC sasa ruksa. RC agoma kuwaomba radhi Clouds - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

RC Dar, TEF na Ruge waongea na wanahabari: Habari za RC sasa ruksa. RC agoma kuwaomba radhi Clouds

Share This
RC mkoa wa Dar es Salaam na wahariri wa vyombo vya habari wanazungumza muda huu.


DGxehNqXsAA5anM.jpg
Tukio limetokea na amekiri kuwa ni kweli limetokea lakini dhana wakati linatokea haikuwa kama ilivyochukuliwa.

Kwa sababu hataki kurudi na kuchimbua makaburi alichoomba yaliyopita yamepita tugange yaliyopo na yanayoendelea mbele ya safari.

"Kwenye kikao tulikbalina aje hapa aseme hivyo ameyaona yaliyotokea anaomba lisirudiwe tena katika utendaji wake wa kazi.

MAKONDA: Walichosikia mara ya kwanza kilitoka clouds lakini hawakupata nafasi ya kusikiliza kutoka kwa Mkuu wao wa Mkoa.

MAKONDA: Ilikuwa nafasi yao kusikiliza na kuuliza maswali, picha waliyoielewa mwisho wakasema hakuna haja kuendelea na mgogoro.

MAKONDA: Tunaachaje mgogoro, yakaja mapendekezo mawili kwanza TEF hawana ugomvi na sababu kuendelea na kifungo kisicho na muda.

MAKONDA: Kama ni adhabu imeshatolewa na waandishi wameshatekeleza tuliyowaelekeza lakini ni wajibu wetu kuwapa habari wananchi.

MAKONDA: Tukae pamoja, yaliyopita si ndwele tugange yajayo, uko tayari? Nikawajibu mimi niko tayari siku zote.

MAKONDA: Naelewa na watu wote wanajua mahusiano niliyokuwa nayo na Clouds hakuna asiyejua upendo nilionao na watu wa Clouds.

MAKONDA: Hatuwezi kuuchukua huo tukawaingiza na watu wengine, kama ni tofauti za kwetu sisi hatuwezi kuwaweka waandishi wote.

MAKONDA: La pili Mwenyekiti akasema tukimuita Ruge tukakaa naye kuna tatizo? Nilimjibu Ruge muache wala sihitaji kumuona.

MAKONDA: Akaniambia tufanye la kwetu, nikasema sawa. Juzi tumeenda Tanga nikapigwa nyundo kubwa zaidi nikapigwa nyundo kubwa.

MAKONDA: Sasa kama mwenyenchi ameshasema tupendane.

MAKONDA: Tuendelee kufanya kazi, mimi na Ruge ni marafiki wa muda mrefu tuliyotofautiana sisi tuyashughulikie kwa engo yetu.

MAKONDA: Tusiingize taasisi yote kuwaingiza wananchi ambao hawana hatia, hawana kosa kwa sababu ya mahusiano yangu na Ruge.

TEF: Mazungumzo haya tuliyaanzisha sisi Jukwaa la Wahariri baada ya ile taarifa ya kutoa adhabu kwa Mkuu wa Mkoa ilikuwa wazi.

TEF: Uwazi unaelekea mpaka lini? Tulitoa kwenye tamko mpaka pale Mkuu wa Mkoa atakapoomba radhi.

TEF: Mwishoni tukapata wazo tumtafute Mkuu wa Mkoa. Tulipomueleza siku ya kwanza naye alikuwa anafikiria hayo hayo.

TEF: Siku ya kwanza tulikutana naye kwenye msiba wa mke wa Dr. Mwakyembe tukapendekeza tukutane kwa hilo suala.

TEF: Kwa hiyo walioanzisha mazungumzo haya ni sisi TEF.

Ruge: "Kwanini Jukwaa la Wahariri hawakuniita tuzumgumze kabla ya kuja hapa? Na kusema RC Makonda hakuikosea CLOUDS MEDIA GROUP. Si sawa"

Ruge: "Jukwaa la Wahariri (TEF) hawajawahi kuja kunishirikisha kwenye mazungumzo yao ya sasa na RC Makonda."

Ruge: "Nawashangaa Jukwaa la Wahariri kwa kuniita hapa wakati RC Makonda alisema nisiwepo."

RUGE: Ninawalaumu TEF, kama mliambiwa mimi nisije, nimekuja kufanya nini?

MAKONDA: Tafsiri iliyotoka kwamba nimevamiwa, yako mambo mengi ambayo ukiangalia linabaki la kukaa mimi na ndugu yangu Ruge.

MAKONDA: "Ndugu waandishi wa Habari na Wahariri kile ambacho Katibu amekisema hakitatokea kwenye kinywa changu, 

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages