Mtanzania Herieth kalamba dili lingine la Mamilioni - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Mtanzania Herieth kalamba dili lingine la Mamilioni

Share This
Unamkumbuka Herieth Paul, Mrembo Mtanzania ambaye amezaliwa Dar es Salaam lakini kaishi Canada na mama yake mzazi tangu akiwa na miaka 12 na Mtanzania aliyewahi kupata dili la Tsh. Bilioni 1 kwa kutokea kwenye onyesho la Victoria Secret, Ufaransa.
Sasa good news ni kwamba time hii mrembo huyo amepata nafasi ya kushiriki kwa mara ya pili onesho hilo la Victoria Secret.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages