MAANDALIZI YA UNDILUTED WORSHIP YANAENDELEA KUPAMBA MOTO, DADA ZETU HAWA WANAMUZIKI WAMEJIPANGA - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MAANDALIZI YA UNDILUTED WORSHIP YANAENDELEA KUPAMBA MOTO, DADA ZETU HAWA WANAMUZIKI WAMEJIPANGA

Share This


    
Tumezoea Kuona Wanamuziki Wengi Ni Wakiume Lakini Mwaka Huu Wa 2017 Kwenye Tasnia Ya Muziki Wa Injili Arusha The City Of Praise Kumekuja Kitu Cha Tofauti “UNDILUTED WORSHIP” Hii Ni Event Inayowakutanisha Wasichana Wanamuziki Wanaopiga Vyombo Tofauti Tofauti Vya Muziki.Kwa Waimbaji Na Wanamuziki Wa Kiume Wanashauku Kubwa Kuona Kile Wasichana Hawa Wanakwenda Kufanya Tarehe 27 August 2017 Pale Kanisa La LIFE CITY CHURCH SAKINA KWA IDD MAARUFU KAMA KWA EGONI Sio Ya Kuikosa Hii Mtu Wa Mungu Hakuna Kiingilio Ni Bure Kabisa

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages