List ya mastaa wa Marekani wanaomkubali Wizkid inaongezeka - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

List ya mastaa wa Marekani wanaomkubali Wizkid inaongezeka

Share This
StarBoy Wizkid anazidi kuzichukua headlines za burudani kila siku huku akipeperusha vizuri bendera ya Nigeria na Afrika katika ulimwengu wa muziki kimataifa na kujiongezea mashabiki na umaarufu mkubwa.
Miongoni mwa niliyoyakuta ni comment ya rapa staa wa kike kutoka Marekani Nicky Minajkwenye post ambayo Wizkid alipost show yake akiwa anaimba wimbo aliomshirikishaDrake ndipo  Nicky Minaj aka-Like na kucomment alama za moto ikimaanisha ameifurahia show ile na anamkubali.
Kwa comment hiyo tutegemee collabo ya Wizkid na Nicky Minaj?  Acha comment yako hapo chini

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages