Askofu Josephat Gwajima ameshindwa kwenda Mahakamani leo - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Askofu Josephat Gwajima ameshindwa kwenda Mahakamani leo

Share This
Image result for Askofu Josephat Gwajima
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo July 31, 2017 imekwama kutoa hukumu ya kesi ya kushindwa kuhifadhi silaha inayomkabili Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Josephat Gwajima kwa sababu anaumwa.
Akizungumza mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa ambapo Wakili wa Serikali, Shadrack Kimaro alieleza shauri hilo limeitishwa kwa ajili ya kutolewa hukumu ambapo hata hivyo, Wakili wa utetezi, Peter Kibatala amedai kuwa mteja wake ameshindwa kufika Mahakamani kwa sababu anaumwa.
Kutokana na hatua hiyo, Hakimu Mwambapa aliahirisha kesi hiyo hadi August 30, 2017 kwa ajili ya hukumu.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages