“Baraka the Prince ana Chuki na Jux na mimi” – Ben Pol - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

“Baraka the Prince ana Chuki na Jux na mimi” – Ben Pol

Share This

Hivi karibuni msanii kutokea Bongo flevani Baraka the prince aliingia kwenye headlines baada ya kuukosoa wimbo wa mwanamuziki Ben Pol “Tatu”na kusema wimbo ni mbaya na haukustahili mtu kupiga picha bila ya nguo kwa kiki ya wimbo kama ule.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages