Timu ya soka ya Yanga imeibamiza Toto African goli moja bila majibu na kuionyesha Toto mlango wa kutokea ligi kuu.
-Simba itahitaji maajabu ya mpira yaende upande wao kuondoa tofauti ya zaidi ya magoli 10 kati yake na Yanga ili kutwaa ubingwa.
Gonga LIKE kisha SHARE na marafiki.
No comments:
Post a Comment