Msimamo wa Maalim Seif kuhusu Prof. Lipumba - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Msimamo wa Maalim Seif kuhusu Prof. Lipumba

Share This
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kupitia Clouds 360 ya Clouds TVamedai kuwa bora akae na CCM kuliko kukaa na Mwenyekiti wa CUF anayetambulika na Msajili wa Vyama vya siasa Prof. Ibrahim Lipumba kwa kuwa ni msaliti.
Akijibu swali la mtangazaji wa kipindi hiko Masoud Kipanya aliyeuliza kama anaweza kukaa Ofisi moja na Prof. Lipumba, Maalim Seif alijibu: Siwezi, siwezi kukaa na msaliti. Ni bora kukaa na CCM kuliko kukaa na msaliti.” – Maalim Seif.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages