Habari Mbaya: Wanafunzi 20 wahofiwa kufa katika ajali ya basi Karatu - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Habari Mbaya: Wanafunzi 20 wahofiwa kufa katika ajali ya basi Karatu

Share This

[​IMG]

Wanafunzi zaidi ya 20 wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali ya basi iliyotokea wilayani Karatu leo asubuhi.
Habari zinaarifu kuwa , basi hilo limeanguka kabla ya kuingia karatu mjini na kuua watoto wengi .

Inaarifiwa kuwa Wanafunzi hao  ni wa shule inayoitwa Lucky Vicent ya Arusha ambao walikua wanaenda karatu kufanya mitihani ya mashindano na shule za karatu.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages