- www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here
Bwana Yesu asifiwe nakukumbusha wewe nimtu wamuimu sana kwangu kama mgeni rasmi iletarehe ambayo tulikua tunasubiria imekaribia ni jumapili hii ya tarehe 7/5/2017 ktk ukumbi wasafina ile ibada kubwa yakuweka wakfu album yavidio ya UNASHNGAZA YESU napia tutakua nasadaka yawajane nayatima siku hiyo njoo Nayale mambo 5 na Mungu atakushangaza isaya 35:5,10 na Marko 7:37 ambatanisha kwenye hayo mahitaji Mungu akubaruki usikose kuanzia SAA 7 kamili mchana — 

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages