Mungu azilaze roho za marehemu pema peponi.
Wamepitishwa hapa kimandolu kama saa nne hivi. Baba ni mlinzi amerudi asubuhi hii hakuwa na hiyo taarifa. Kulikuwa na gari inamsubiri hapa kituoni Kimandolu, alivyoshuka kwenye daladala tu wakamchukua na kuelekea nae hospitali, watu wamemwombolezea sana kwa hiyo surprise.
No comments:
Post a Comment