ACT-Wazalendo kuhusu ripoti ya mchanga wa dhahabu ‘Makinikia’ - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

ACT-Wazalendo kuhusu ripoti ya mchanga wa dhahabu ‘Makinikia’

Share This

Ikiwa ni siku chache tangu kamati iliyoundwa na Rais John Magufuli kuchunguza ishu ya usafirishaji wa mchanga wa dhahabu nje ya nchi kuwasilisha ripoti yake kwa Rais, leo May 28 2017 Chama cha ACT Wazalendo kimesema kimeandaa mjadala wa kitaifa kujadili na kuichambua ripoti ya Tume ya Prof. Mruma na kutoka mwongozo wa kisera juu ya usimamizi wa rasilimali  madini

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages