Tutapokea taarifa na tutakuhifadhi, hatukusemi” – Waziri Mkuu Majaliwa - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tutapokea taarifa na tutakuhifadhi, hatukusemi” – Waziri Mkuu Majaliwa

Share This

February ni mwezi ambao utakumbukwa sana katika mwaka huu 2017 baada ya kuanzishwa harakati za kuwasaka watumiaji na wauzaji wa dawa za kulevya ambapo wengi waliitwa Polisi kuhojiwa na baadhi kufikishwa Mahakamani.
Baada ya zooezi hilo Rais Magufuli alimteua Rogers Sianga kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya na timu yake ili klifanya zoezi hilo katika njia bora zaidi chini ya Mwenyekiti wake Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Mamlaka hiyo inaendelea na zoezi la kuwasaka wauzaji na watumiaji wa dawa za kulevya ambapo Waziri Mkuu Majiliwa anaeleza hatua iliyofikiwa hadi sasa.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages