Ray Kigosi amemjibu Wema kuhusu Roma Mkatoliki - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Ray Kigosi amemjibu Wema kuhusu Roma Mkatoliki

Share This



Baada ya wasanii Roma Mkatoliki, Moni pamoja na wenzao kuchukuliwa na watu wasiofahamika tangu usiku wa kuamkia jana wasanii mbalimbali wamekuwa wakitumia kurasa zao za mitandao ya kijamii kupost juu ya kusikitshwa na kitendo hicho, Wema Sepetu akiwa moja kati yao.
Lakini post ya Wema Sepetu ambayo aliiandika kupitia ukurasa wake wa Instagram imeonesha kutokumfurahisha muigizaji mwenzake Ray Kigosi ambaye amepost pia katika ukurasa wake wa instagram na kueleza kutokufurahishwa na namna Wema alivyoandika kuhusu ishu hiyo.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages