Punguzeni majungu, tumwache Rais afanye kazi’ -Munde Tambwe - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Punguzeni majungu, tumwache Rais afanye kazi’ -Munde Tambwe

Share This



April 11, 2017 Mbunge wa viti maalum CCM Munde Tambwe alikuwa ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kuchangia mapitio na mwelekeo wa kazi za Serikali na bajeti ya ofisi ya Waziri mkuu kwa mwaka 2017/2018 ambapo kwa uapande wake alionesha kuchukizwa na baadhi ya wanasiasa wanaokosoa jitihada za Rais wa nchi.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages