MICHEZO Mbwana Samatta anatajwa kwenda kumrithi Robin van Persie - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MICHEZO Mbwana Samatta anatajwa kwenda kumrithi Robin van Persie

Share This

Headlines za usajili barani Ulaya zimeanza kuchukua nafasi wakati huu ambao Ligi Kuu mbalimbali barani humo zinakaribia kumalizika, mshambuliaji wa kimataifa wa TanzaniaMbwana Samatta ameanza kuhusishwa na Fenerbahce ya Uturuki.
Mbwana Samatta ambaye kwa sasa anaichezea KRC Genk ya Ubelgiji ameanza kuhusishwa na club hiyo kutokana na uwezo wake licha ya kuwa maamuzi hayo ya Fenerbahce yanatajwa kushangaza wengi, Fenerbahce kwa sasa wanatafuta mbadala wa mshambuliaji wao Robin van Persie ambaye anaonekana kuchoka.
Samatta ambaye ana umri wa miaka 24 anatajwa kutazamiwa na Fenerbahce kumrithi Robin van Persie aliyewahi kuvichezea vilabu vya Arsenal na ManUnited ya England, wachezaji wengine wanaotazamiwa na Thomas BrunsTheo Bongoda na Ridgeciano Haps.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages