Maneno 38 Mbunge Halima Mdee ameandika kuhusu Askofu Gwajima - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Maneno 38 Mbunge Halima Mdee ameandika kuhusu Askofu Gwajima

Share This


Baada ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dr. Josephat Gwajima leo April 9, 2017 kumtaka Halima Mdee Mbunge wa CHADEMA kumuomba radhi Spika wa Bunge Job Ndugai kwa maelezo kuwa alimtukana, jioni hii kupitia Twitter ya Mbunge huyo ameandika kuhusu kinachoendelea kati yake na Spika Ndugai.
Mdee ameandika >>>’Namuheshimu sana Mch. Gwajima,sitajibizana nae kwenye mitandao. Niweke rekodi sawa sijamtukana na wala sitarajii kumkosea heshima Spika.<<<<
>>>Hayo ya J2 namwachia yeye! Yangu na yaliyojiri Bungeni.. Najua jinsi ya kuyahandle. Yawezekana yalishamalizwa kabla ya Ibada yake LEO.<<<
Namuheshimu sana Mch.Gwajima,sitajibizana nae kwenye mitandao. Niweke rekodi sawa sijamtukana na wala sitarajii kumkosea heshima Spika. https://twitter.com/mitandaonblog/status/851079630094299136 

Hayo ya J2 namwachia yeye! Yangu na yaliyojiri Bungeni.. Najua jinsi ya kuyahandle. Yawezekana yalishamalizwa kabla ya Ibada yake LEO. https://twitter.com/mitandaonblog/status/851079630094299136 

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages