Maneno 21 ya Rais Mstaafu Kikwete baada ya mkewe kuapishwa kuwa mbunge - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Maneno 21 ya Rais Mstaafu Kikwete baada ya mkewe kuapishwa kuwa mbunge

Share This

Leo April 4 2017 Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ameshuhudia kiapo cha ubunge cha mkewe mama Salma Kikwete. Baada ya kiapo hicho kupitia account yake ya twitter ameyaandika haya….
>>>‘Leo asubuhi nimeshuhudia kiapo cha Mke wangu Mhe. Salma Rashid Kikwete kuwa Mbunge wa Kuteuliwa Bungeni Dodoma.Ni zamu yangu kumuunga mkono’

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages