Jikumbushe umahiri wa kuuchezea mpira wa Ronaldinho vs Zidane By Rama Mwelondo TZA - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jikumbushe umahiri wa kuuchezea mpira wa Ronaldinho vs Zidane By Rama Mwelondo TZA

Share This

Moja kati ya majina yaliojipatia umaarufu na heshima kubwa katika soka ni Zinedine Zidane na Ronaldinho ambao uwezo wao umeifanya dunia ya soka kutokusahau mchango wao, Zidane ni mahiri katika kucheza mpira na kufanyia mbwembwe kama ilivyo kwa Ronaldinho.
Naomba nikusogezee video yao kila mmoja akionesha uwezo wake katika soka, mtu wangu wa nguvu naomba jikumbushe halafu usisahau kuacha comment yako nani unamkubali zaidi katika umahiri wa kuuchezea mpira.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages