
Kupitia Instagram ya Hamorapa Leo April 1 2017 ameamua kuweka hisia zake wazi kwa mrembo kutoka kiwanda cha filamu Tanzania Wema Sepetu, lakini pia amefunguka kuchukizwa na Mr Blue, Diamond na Idriss Sultani na wengine kwa kuumiza moyo wa Wema Sepetu.
Pia Hamorapa amefunguka kuwa watu wasimfananishe Wema Sepetu na Zari kwa sababu Wema Sepetu ni mzuri sana.
No comments:
Post a Comment