Instagram: Alichokiandika Baraka baada ya kupost picha na Meneja wa Diamond - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Instagram: Alichokiandika Baraka baada ya kupost picha na Meneja wa Diamond

Share This


Baraka the Prince anazidi kuchukua headlines kwenye mitandao ya kijamii na hii ni baada ya kupost picha kwenye mtandao wake wa Instagram yuko na manager wa msanii Diamond Platnumz, Baadhi ya mashabiki wamekuwa wakicomment kwenye picha hiyo wakishangazwa na Baraka kupost picha akiwa na Babu Tale.
barakahtheprince_ With @babutale kuna ule wimbo wa @billnass naupenda sana / #Mazoea
#Acha_Niende link kwa bio yangu #Bana#crownprince  #IamPrince #RockStar4000

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages