Davido kathibitisha kufanya kolabo na Joh makini, Kayaandika haya - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Davido kathibitisha kufanya kolabo na Joh makini, Kayaandika haya

Share This

Hivi karibuni Msanii Joh Makini kutoka kundi la Weusi, aliwaahidi mashabiki zake juu ya kufanya kolabo na msanii Davido wa Nigeria, sasa April 3 kupitia ukurasa wa Instagram wa Mwimbaji na staa kutokea Nigeria Davido amethibitisha kuwa tayari washaanza kuandaa kolabo hiyo na mkali Joh makini.
Kwenye ukurasa huo Davido alipost  picha akiwa pamoja na Joh Makini na kuandika maneno yalisomeka “Back to work On set shoot @johmakinitz ft Davido ….. TZ  x NAIJA”

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages