Bayern Munich uso kwa uso na Real Madrid leo - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Bayern Munich uso kwa uso na Real Madrid leo

Share This

Bayern Munich huenda ikacheza bila mshambuliaji Robert Lewandowski katika robo fainali ya mechi ya vilabu bingwa nyumbani dhidi ya Real Madrid.

Lewandowski ambaye amefunga mabao 38 katika mechi 40 msimu huu huenda asishiriki katika mechi hiyo kutokana na jeraha la bega.

Hatahivyo ,mkufunzi wa Bayern Carlo Ancelotti ambaye aliongoza Real Madrid kushinda taji lao la Ulaya kwa mara ya 10 mwaka 2014 anasema kuwa timu hiyo ya Ujerumani bado ni ngumu bila mshambuliaji huyo.

''Iwapo anahisi uchungu hatocheza ,lakini haitabadili mipango yetu'', alisema.

''Tutaamua iwapo Lewandowksi atacheza siku ya Jumatano.Tunajua umuhimu wake lakini haitabaili motisha wetu''.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages