Alivyosherehekea Birthday yake Mama Janeth Magufuli leo - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Alivyosherehekea Birthday yake Mama Janeth Magufuli leo

Share This

Mke wa Rais mama Janeth Magufuli leo jumapili ya April 9 2017 amesherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa kwa kutembelea na kutoa msaada katika hospitali ya Ocean Road Dar es Salaam.
Licha ya mama Magufuli kuamua kusherehekea Birthday yake kwa kutembelea hospitali ya Ocean Road na kutoa msaada katika taasisi ya saratani hospitalini hapo, ameweka wazi kuwa Ocean Road ndio hospitali aliyozaliwa.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages