Waziri Mwakyembe na Nay wa Mitego walivyokutana Dodoma - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Waziri Mwakyembe na Nay wa Mitego walivyokutana Dodoma

Share This

March 20, 2017 Staa wa Bongofleva Nay wa Mitego alifika katika ofisi za Wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo zilizopo Dodoma kwa ajili ya kuonana na kufanya mazungumzo na Waziri Dr. Harrison Mwakyembe ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu msanii huyo kuachiwa huru.
Nay wa Mitego alikuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi Dar es slaam kwa tuhuma za wimbo wake wa ‘WAPO’ kudaiwa kutokuwa na maadili kisha baadae aliachiwa huru baada ya agizo lililotolewa na Rais Magufuli kupitia  Mwakyembe ambapo aliomba aonane na Nay wa Mitego ili kumshauri vitu vya kuongeza kwenye wimbo wake wa ‘WAPO’.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages