‘Tutawapima wachezaji, anayetumia dawa za kulevya tutaondoka naye”-Makonda - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

‘Tutawapima wachezaji, anayetumia dawa za kulevya tutaondoka naye”-Makonda

Share This

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda na Balozi wa China hapa Tanzania leo March 3 2017 wameweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa uwanja wa mpira wa Bandari DSM, uwanja huo utawekwa nyasi bandia.
Uwanja huo ambao umekuwa maarufu kutumika kwa michezo ya Ndondo CUP na unatarajiwa kutumika tena kwenye michezo hiyo na wakati wa michezo hiyo RC Makonda amesema wachezaji wa Ndondo CUP watapimwa kama wanatumia dawa za kulevya na watakaobainika watachukuliwa.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages