
Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro leo March 10 2017 amekutana na waandishi wa habari na kutoa taarifa kuhusu zoezi linaloendelea la ukamataji wa watuhumiwa wa dawa za kulevya ambapo amethibitisha kuwa wamemkamata mwimbaji Vanessa Mdee ni baada ya kutajwa kwenye list ya mkuu wa mkoa wa DSM, Paul Makonda, Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama
No comments:
Post a Comment