“Naamini familia ya Alikiba na yeye mwenyewe hawakumaanisha, waliteleza”-Jokate - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

“Naamini familia ya Alikiba na yeye mwenyewe hawakumaanisha, waliteleza”-Jokate

Share This

Hivi karibuni Mama wa mwimbaji wa BongoFleva,  Alikiba alidai kuwa anamchukulia Jokate kama rafiki wa Zabibu “dada wa Alikiba” na kuhusu kuwa rafiki wa Alikiba hajui kwani hajatambulishwa. Alikiba naye alipoulizwa alidai Jokate si mpenzi wake bali rafiki yake tu.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages