Wabunge wa upinzani walivyotoka nje kisa kukamatwa kwa Tundu Lissu - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wabunge wa upinzani walivyotoka nje kisa kukamatwa kwa Tundu Lissu

Share This

Kutokea bungeni Dodoma leo February 7 2017 Wabunge wa kambi rasmi ya upinzani bungeni walitoka nje ya ukumbi wa Bunge wakati mkutano ukiendelea kwa madai kwamba Naibu spika Dr. Tulia Ackson   amekataa mwongozo wa kujadili kukamatwa kwa Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lissu jana katika eneo la bunge.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages