
Jumapili ya February 12 2017 Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania bara Dar es Salaam Young Africans watarudi uwanjani kuanza harakati zao za kuwania taji la Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kucheza dhidi ya N’gaya Club ya Comoro.
Yanga watachezaji Comoro katika mji wa Moron ambapo mwaka huu Yanga wamethibitisha kuja wakiwa makini zaidi kutokana na rekodi ya wapinzani wao wa sasa, licha ya kuwa Yanga wamekuwa na utamaduni wa kuzifunga timu za Comoro kwa idadi kubwa ya magoli.
No comments:
Post a Comment