Kutoka kwa Paul Makonda usiku huu na mistari aliyonukuu - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Kutoka kwa Paul Makonda usiku huu na mistari aliyonukuu

Share This


Jina la Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda sasa hivi linatajwa sana kwenye headlines za sakata la dawa za kulevya na tayari akiwa amefanya awamu ya pili ya kutaja orodha ya Watu 65 wanaotuhumiwa kwenye sakata hilo.
Pamoja na hayo kuendelea Paul Makonda amepost video kwenye Instagram page yake akisoma mistari ya Biblia >>> “Usiogope Mbwa Mwitu, unapoanza kuchipuka katika wazo lako…. na ndio maana kuna wimbo wa mwimbaji anaitwa Ephraim kutoka Zambia naupenda sana

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages