Harmorapa Azua Bonge la Gumzo Mtandaoni Baada ya Kuonyesha Mihela Hii - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Harmorapa Azua Bonge la Gumzo Mtandaoni Baada ya Kuonyesha Mihela Hii

Share This
Msanii wa muziki wa hip hop Harmorapa akiwa bado anaendelea kutrendi katika mitandao ya kijamii, amekuja na mpya kwa kuonyesha mabunda ya hela mtandaoni.

Rapper huyo ambaye anafananishwa na msanii kutoka kundi la WCB Rajab Abdulhan ‘Harmonize’, Jumatano hii zimesambaa picha mtandaoni akionyesha kinachompatia jeuri.

Kwa habari ambazo bado hazijathibitika zinadai kuwa rapa huyo yupo chini ya wafanyabiashara wakubwa jiji Dar es salaam.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages