February 2 2017 nimefanikiwa kumpata katika Exclusive Interview mtanzania Yohana Mkomola anayeichezea timu ya taifa ya Tanzania ya vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys ambapo amenielezea kuhusiana kupata dili la kwenda kuichezea club maarufu ya soka ya Etoile du Sahel ya Tunisia.

No comments:
Post a Comment