Jengo la ghorofa la NSSF Waterfront lililopo mtaa wa Sokoine linaungua muda huu. Polisi wa Usalama barabarani wamefunga barabara hiyo ili kuzuia watu kupita kwa ajili ya kuwakinga na ajali yoyote inayoweza kutokea.
Taarifa ambayo haijathibitishwa na Jeshi la polisi zinasema jengo hilo limeungua kutokana na hitilafu ya umeme iliyotokea ndani ya jengo hilo. Havi sasa barabara hiyo imefungwa ili kurahisisha shughuli za uokoaji….

No comments:
Post a Comment