Katika Hali ya Kushangaza dunia na ulimwengu kiujumla.. Nyoka mkubwa akutwa kwenye choo cha mbunge mmoja (Jina Limehifadhiwa) huko Kenya, Haieleweki nyoka huyo aliingia vipi katika choo hicho kilicho katika chumba cha kulala Mbunge huyo, Akitoa taarifa katika Vyombo vya habari alisema, Haelewi ni vipi nyoka huyo iliingia chumbani kwake na hatimaye kwenye choo, alihusisha moja kwa moja na imani za kishirikina akisema inawezekana wapinzani wake kisiasa wameamua kumfanyia ushirikina ili kumkatisha tamaa katika uchaguzi ujao.
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Home
Unlabelled
BREAKING : Mbunge Akuta Nyoka Mkubwa Kwenye Choo Nyumbani Kwake, Tazama Video Hapa
BREAKING : Mbunge Akuta Nyoka Mkubwa Kwenye Choo Nyumbani Kwake, Tazama Video Hapa
Share This
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Bottom Ad
Responsive Ads Here
Author Details
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates which are professionally designed and perfectlly seo optimized to deliver best result for your blog.

No comments:
Post a Comment