Rais Magufuli yuko kwenye jiji la Addis Ababa Ethiopita kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi za umoja wa Afrika ambapo kwenye uwepo wake huo, amepewa heshima ya kutangaza rasmi kuanza kufanya kazi kwa jengo lililopewa jina la JULIUS NYERERE ambalo limejengwa Addis Ababa.
Baada ya kupewa nafasi hiyo JPM alitumia lugha ya Kiswahili kuzungumza mbele ya Wageni mbalimbali pamoja na Marais mashuhuri wa Afrika kama Robert Mugabe, Paul Kagame, Uhuru Kenyatta, Jacob Zuma na wengine, tazama kwenye hii video hapa chini

No comments:
Post a Comment