PLANET BONGO (Saa 3:00 Usiku) MIKATABA YA WASANII Belle 9 ameongea na kitengo cha Planet Bongo ya EATV na kuweka wazi kwanini hajajiunga na WASAFI mpaka sasa. Pia kwenye 'Usiku Mnene' Dully Sykes ataimba ngoma kali tano za wasanii wa Bongofleva waliofanya vizuri 2016, unajua ni zipi? basi usikose show ya kijanja kwenye ramani ya Bongofleva. Wewe kama mdau au shabiki wa Bongofleva una ushauri gani kwa Belle9? - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

PLANET BONGO (Saa 3:00 Usiku) MIKATABA YA WASANII Belle 9 ameongea na kitengo cha Planet Bongo ya EATV na kuweka wazi kwanini hajajiunga na WASAFI mpaka sasa. Pia kwenye 'Usiku Mnene' Dully Sykes ataimba ngoma kali tano za wasanii wa Bongofleva waliofanya vizuri 2016, unajua ni zipi? basi usikose show ya kijanja kwenye ramani ya Bongofleva. Wewe kama mdau au shabiki wa Bongofleva una ushauri gani kwa Belle9?

Share This

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages