Mambo 10 yanayochochea mapenzi kabla ya wakati. - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Mambo 10 yanayochochea mapenzi kabla ya wakati.

Share This
 
1. Makundi
Tumeshazungumza mengi kuhusu athari za kufuata mkumbo wa makundi, lakini kwenye kipengele hiki hatari ya kuwa na makundi ya wapenda mapenzi ni kukutia majaribuni. 

Uzoefu unaonesha kuwa wanafunzi wengi hasa wa kike huanza mapenzi baada ya kutekwa kihisia na rafiki zao na kuna ushahidi wa baadhi ya wanafunzi kutongozwa na kupelekwa kwa wavulana kwa njia ya ukuwadi.

2 Tamaa

Tamaa ya kupata vitu vizuri nayo inatajwa kuwa imekuwa ikiharibu msimamo wa wanafunzi wengi wao wakiwa wa kike. 

3. Mazingira magumu.

4. Mabadiliko ya mwili

5. Kulaghaiwa.

Soma: Mambo Yatakayo Kusaidia Kama Umeachana Na Mwenzi Wako

6. Malezi yasiyokuwa na maadili.

7. Kukosa mipaka.

8. Kuangalia au kusoma majarida ya ngono
Akifanya hivyo atajikuta katika vishawishi vya mwili na hatimaye atafanya mapenzi.

9. Kujaribu.

10. Mila na desturi potufu.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages