Makonda akabidhiwa lile jengo la Mwananyamala, asema kwanini anajiweka karibu na Matajiri - www.gbgraphixpro.com

Random Posts

test banner

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Makonda akabidhiwa lile jengo la Mwananyamala, asema kwanini anajiweka karibu na Matajiri

Share This
March 13 2016, mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda alifungua rasmi ujenzi wa jengo la upasuaji wa Wagonjwa mahututi na mapumziko katika Hospitali ya Mwananyamala Dar es salaam na wakati huo alikua mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.
Leo January 29 2017  GSM FOUNDATION ambao ndio wamejitolea kwa hali na mali kulijenga jengo hilo kwa pesa za kitanzania MILIONI 420, wamemkabidhi Paul Makonda likiwa limekamilika.

No comments:

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages