Eneo la Chawawa nchini Zambia limeingiwa na sintofahamu baada ya msichana (pichani) ambaye alitangazwa kufariki miezi miwili iliyopita kufufuka na kutambuliwa na ndugu zake.
Mfano unaletewa taarifa kuwa jamaa yako mliyezika miezi miwili iliyopita kaonekana mtaani, utafanya nini?
No comments:
Post a Comment